NEW BLOG: MOROGOROFAMILY.BLOGSPOT.COM...!!!

Karibuni wadau katika libeneke la wana Moro na tunapenda kutambulisha rasmi blog yetu ambayo linapatikana kupitia link hii www.morogorofamily.blogspot.com

Tunapenda pia kukaribisha habari, maoni na matukio ya Mji Kasoro Bahari aka Morogoro kupitia barua pepe morogoromjiwetu@gmail.com

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu na karibuni sana.

Morogoro Family

One Love

Comments