PICHA ILIYO BAMBA FACEBOOK LEO NI YA MUANDAAJI WA KIPINDI CHA STEP UP PLAYER CHA CLOUDS TV ALIYE JICHORA TATTOO USONI...!!!

Hivi ndivyo alivyo caption picha yake muandaaji wa kipindi cha Step Up Player kinachorushwa na CloudsTV  "I THINK I LIKE IT...MORE TATS KAMIN MA WAY"...!!!!

Tulianza kumuona Mike Tyson, then akaja mwanadada Amber Rose na leo katika pitapita zangu Facebbok nikukutana na rafiki yangu huyu ambaye na yeye amejitoa muhanga na kupata tattoo usoni.

Baada ya kupitia comments watu wengi ni kama hawajafurahia jambo hili ndipo mwenywe akafunguka na kutaja sabau kwanini ameamua kuchukua uamuzi huo kwa kusema kwamba ameamua kujichora tattoo hiyo usoni ili kuweza kuficha kovu la ajali aliyo pata mwaka jana. 
Je wewe mdau unauchukuliaje uamuzi wake?
Umeipenda tattoo yake?
Toa maoni yako kwa uhuru....

Comments

  1. Ulimbukeni tu hakuna lolote kila kitu ni kuiga tuu, mbona hatuigi kujichoma mabisu au kujipiga vitanzi ka kufilia mbali. Cjapenda hito tattoo yake na kitendo chake cjakikubali kabisaa, ni kwa faida ya nani akijipinga hivyo

    ReplyDelete
  2. Huu ni ulimbukeni tuu, watu anaiga kutoka magharibi. Ikumbukwe ya kwamba dunia ya leo yamezuka makundi na imani mbali mbali ambazo tatoo/alama mwilini ni sehemu ya ukiri wa imani,nashangaa sana kuona vijana wanabeba tamadani pasipo kujua chanzo au implication zake. Sipendi kuamini kama amefanya hvo kuzuia kovu kwani zipo njia mbali mbali za kuondoa makovu kisayansi na kwa usalama. Wito wangu vijana tuache ulimbukeni kubeba ya wenzetu.

    ReplyDelete
  3. Tattoo ni zaidi ya hilo kovu la ajali,what if angetoka jicho kwenye hiyo ajali??
    Ni mwili wake na ana maamuzi yake lakini mimi naona katika maamuzi mengine kuna haja ya kuomba ushauri kwa wengine....
    Sio nzuri jamani,tuwe tunafikiria mara mbili kabla ya kufanya maamuzi au hapo alipo ndio kashafika na kumaliza safari yake ya maisha??
    TUWE MAKINI KATIKA MAAMUZI MAGUMU

    ReplyDelete
  4. Mmmmhh UJana ni Maji ya Moto yakipoa jee,kazi kwelikweli.Ahsante da'JG kwa picha.

    ReplyDelete
  5. kwanza una hereni, je wajua maana ya kuvaa hizo hereni? pili hiyo tatoo, kama si ushoga ni nini?

    ni zaidi ya kovu la ajali ulilonalo

    ReplyDelete
  6. hUYU KIJANA MI NAMJUA NI SHOGA NA KAMA MNAVYOJUA MASHOGA AKILI ZAO HAZIKO VIZURI

    ReplyDelete

Post a Comment