VIDEO: CHEKI MAKAMUZI YA TAMASHA LA KUCHANGIA ALBINO NDANI YA DAR LIVE...!!!

Wasanii God Zilla na Nikki Mbishi wakilipamba Tamasha la Kuchangia Albino lililofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Ijumaa Machi 9, 2012.

Mkali wa Hip Hop Joh Makini akiwarusha mashabiki katika Tamasha la kuchangia Albino lililofayika ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala Zakhem Ijumaa, Machi 9, 2012.

Comments