VIDEO: WASHIRIKI 8 WALIOINGIA 8 BORA KATIKA SHINDANO LA VAA, IMBA NA CHEZA KAMA RIHANNA NDANI YA DAR LIVE...!!!
Hawa ndiyo washiriki 8 bora walioingia kwenye kinyang'anyiro cha shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna, baada ya washiriki wanne kuyaaga mashindano hayo yanayoendeshwa na Dar Live, ambapo mshindi ataibuka na kitita cha shilingi Milioni Kumi.
Comments
Post a Comment