HISIA ZA WADAU MBALI MBALI KWA JINSI WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA STEVEN KANUMBA.

I-VIEW MEDIA
We had argument few days ago with kanumba concerning this photograph which is a movie cover named MOSES... TWICE HE MENTIONED TO ME THAT THIS IS HIS FAVOURATE PHOTOGRAPH EVER..
THIS PHOTO WILL HAVE ITS USE AT HIS FUNERAL IF THE FAMILY ALLOW US TO DO SO


Jakaya Mrisho Kikwete (Rais Wa Tanzania)

Nimepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Ndugu Steven Charles Kanumba. Kupitia filamu zake, ameburudisha na kuelimisha jamii yetu kwa namna ambayo haiwezi kupimika. Alikuwa msanii mahiri na mwenye kipaji kikubwa ambaye mchango wake mkubwa katika kuanzisha, kukuza na kuimarisha sanaa ya filamu nchini hautasahaulika. Kanumba pia ametoa mchango mkubwa katika kuitangaza nchi yetu ya ...Tanzania mbele ya mataifa mengine kupitia sanaa ya filamu na uwezo mkubwa wa kisanii. Tutaendelea kumkumbuka kwa mchango wake huo kwa nchi yetu. Namwomba Mwenyezi Mungu awape subira na nguvu wadau wote wa tasnia ya filamu nchini za kuweza kuhimili kipindi hiki kigumu kwa sababu yote ni mapenzi yake. Aidha, naungana na wanafamilia na wasanii wote kuwomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, aiweke pema peponi roho ya Marehemu Steven Charles Kanumba. Amen.

REGINALD MENGI (M/kiti wa makampuni ya IPP).
Its always very painful to lose young talents. R.I.P Kanumba


Shy-Rose Bhanji (Mwanaharakati CCM)
RIP KANUMBA...

Andrew Chale ( Red Cross/ Journalist)
Rest In Peace . Steven Kanumba
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikufanyia Interview tulipokutana Zanzibar Film Festival-ZIFF kitu kama 2010 hivi. Kanumba say: "Me I'm Star for now and Forever" huku akisema kua ata angekufa siku iyo atakumbukwa sana..aliniambia hivyo ambapo nakumbuka filamu yake ya This is It ilishinda na ninachokumbuka alivyomtoa yule mtoto Jennifer kenye filamu ile.

Si wakati wa kusifia ama kujazana ukoka, Ila tumuombe kwa Muumba. Namkubali sana Kanumba ila Mungu ndio hivyo amempenda zaidi

Rachel Temu
I have tatoo all your good memories you have done to me RIP my mate. May God protect you

PROF JAY (Bongo Fleva Artist)
Daaah Gone too soon...REST IN PEACE KANUMBA THE GREAT.

Mwamvita Makamba (VODACOM)
It would be hard not to be an admirer of his immense talent. Rest in peace Steven Kanumba. Gone too soon!

Flaviana Matata (Fashion Model)
Woke up on very sad news,Rest In Peace Kanumba,a friend,,FMF supporter,my hommie(shy town).Sad sad sad.Life is too short

Mad Ice (Musician)
Napenda kutoa salamu za rambi rambi kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa marehemu Kanumba Steven... Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi!

January Makamba (MP)
 Rest in peace Steven Kanumba. It's a tragedy to lose somebody so talented at such a young age.


PRODUCER MANECKY kutoka AM REC
Kama studio hivi nagonga ngoma flan yenye fillings kali mana naona kama Roy vile ilivyokuwa kama story kumbe kweli The Great ndo Katangulia..Mungu amlaze Mala Pema PePoni

WAKAZI (Bongo Fleva Artist)
Sijawahi kukutana na STEVE KANUMBA na wala sijawahi kuona Movie yake hata Moja, ILA impact yake kwetu ilinilazimu kumuweka in my Punchline in a Song called HIGHER "...Baller Kutoka Ukonga kama Sheby Kazumba/ Plus My Life is a Movie, Steve Kanumba/..."

Only GREAT People have had the Priviledge of makin it on my Name drop List, and for that, You didnt make a mistake callin your self just that.... Rest In Peace Steve Kanumba The Great!! © Wakazi

ROMA (Bongo Fleva Artist)
Dakika...chache baada ya show yangu ya musoma!! Napata taarifa za huu msiba wa THE GREAT K.A.N.U.M.B.A....sikuamini mpaka nilipopiga simu kwa mmoja wa mtu wake wa karibu na kunijibu huku analia kuwa bro hatunaye kweli na ndo' wao wanatoka muhimbili!!....ni msiba mzito na umewagusa wengi nikiwemo!! Pole sana kaole...pole game 1st quality...pole kwa mpinzani wake mkubwa Ray....pole kwa ben swahiba wake sana....dah pole kubwa kwa pacho mwamba!familia yake Na bongo movie wote...pamoja na watanzania wote!! TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI KAKA STEVE.....Tumuombee ndugu ye2 apumzike pema peponi!!na asamehewe dhambi zake!! Oooh kaka umetuacha ukiwa angali mdogo...inauma sana!!


MRISHO MPOTO (Bongo Fleva Artist)
NILIDHANI NIMESHAZOEA KUSIKIA HABARI ZA KUSHITUA, LAKINI KWA HII YA KANUMBA? SINA NGUVU TENA, KAMA MOSHI UMEKWENDA HAUTARUDI, KAMA JANI KWENYE MTI LIKIDONDOKA HALIRUDI. KANUMBA TUPE ANGALAU DAKI MOJA TUKUAGE RAFIKI YANGU, NAKUMBUKA UTANI WETU "FITINA MWAKA WAKO HUUMOJA" UMIMEBAKI HISTORIA KWELI? RUDI JAPO TUSEME NENO KWAHERI

MILLEN MAGESE (Fashion Model) 

Rest in Peace my friend...you create jobs ,you believed on our own...and you took them as ur own and give them opportunities to believe on themselves and be who they wanna be and take acting as their career....Where do they go now.....Kanumba!!!? Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...Pigo la taifa jamani..Poleni Kaole poleni Tanzania...!

SOLO THANG (Bongo Fleva Artist)

R.I.P STEVEN KANUMBA,,,Mungu amekupenda zaid,,Pole kwa familia na ndugu wa karibu na wapaenzi wa bongo movie kwa ujumla,,,gone too soon Hommie!

JOYCE KIRIA (Mtangazaji)

sio Watengeneza Film tu, ila Watanzania tumepoteza kijana muhimu sanaa katika nchi yetu. Kifo hakikutenda haki kabisa, Kifo amekuwa mkatili na kila maneno tutasema. Ila mwisho wa siku tunasema Mapenzi ya Mungu yatimizwe. Bwana ametoa, na Bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe

Comments

  1. Demetus Kamguna, Barclays Bank Tanzaia8 April 2012 at 11:24

    Initially, I could see him being inspired by the Nigerian movie star Ramsey Nouah, yes I could just see that, no body told me. Then I could see the Great just like him!........just as he made it, God wanted him most! Gos knows and there is probably a good reason for this! I will miss his innovative but social reality reflective movies. May his soul rest in peace!

    By Demetus Kamguna
    Barclays Bank Tanzani

    ReplyDelete

Post a Comment