KAMA WEWE NI MTANZANIA UNAISHI DMV MAREKANI, MPE KURA YAKO DADA LOVENESS MAMUYA ILI AWEZE KUWA RAIS WA JUMUYIA YENU...!!!
NAWAOMBENI USHIRIKIANO WENU NDUGU ZANGU NA PIA NAWAOMBA KURA ZENU WATANZANIA WOTE WA DMV MJITOKEZE KWENYE UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA .2012 TUAMKE TUSHIRIKIANE , TUPENDANE ,TUWEZE KUSAIDIANA, KWENYE MATATIZO NA PIA KWENYE FURAHA TUFUFUE JUMUIYA YETU KWANI KWA POMOJA TUNAWEZA NA TUMEWEZA NAOMBA SANA KURA ZENU NAGOMBEA NAFASI YA URAISI .KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA UCHAGUZI WETU .ASANTENI SANA MUNGU ATUBARIKI AMINA-LOVENESS MAMUYA
Comments
Post a Comment