MAREHEMU STEVEN CHARLES KANUMBA KUZIKWA JUMANNE 10 APRIL 2012...!!!

Habari zilizotufika hivi punde kuhusiana na mazishi ya aliye kuwa muigizaji nguli wa Filamu Tanzania marehemu Steven Kanumba 'The Great' ni kwamba Jumanne tarehe 10 April 2012 kuanzia saa 4 (nne) asubuhi mpaka saa 9 (tisa) mchana mwili wa marehemu Steven Kanumba utakuwa viwanja vya Leaders (Leaders Club) kwa ajili ya kuagwa na baada ya hapo mwili wa marehemu utaelekea katika makaburi ya Kinondoni ambapo ndo safari yake ya mwisho itakapo ishia. Mazishi yatafanyika saa 10 jioni (kumi) makaburi ya Kindondoni. 
Endelea kututembelea mtandao huu kwa updates zaidi

Comments

  1. R.i.p bro bt untli 2day i can't blve zat u leave uc we stil lav u bro luk tanzanians cry 4u untill 2day & 4reva i mic mic mic u and al we a on ze same way u stat we folow R.I.P STEVEN CHARLES KANUMBA.

    ReplyDelete
  2. labda ntaamini nikiona anavozikwa ila mpk sasa i kno kanumba is acting

    ReplyDelete

Post a Comment