MSHINDI WA SHINDANO LA VAA, IMBA NA CHEZA KAMA RIHANNA, LIKE ABRAHAM AKIWA STEJINI...!!!

Mshindi wa Milioni 10 wa Shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna, Like Abraham akifanya makamuzi stejini wakati wa fainali ya shindano hilo.

Comments

  1. CHEZA KM RIHANNA AU KM BEYONCE !?UJINGA MTUPU SIONI HATA ALICHOKICHEZA ZAIDI YA KURUSHA RUSHA MANYWELE YAKE

    ReplyDelete
  2. Jestina ni dance like Beyonce not Rihanna this song is from beyonce.... sawazisha spelling dear...

    ReplyDelete
  3. Hahahahaaaa jamani! Farst off all that is not rihanna song.that is Biyonce my friend.

    ReplyDelete
  4. Huoni alichokicheza we unaweza? ndo kashapata mil.10 kibongobongo akijipanga zinaweza kumtoa.

    ReplyDelete

Post a Comment