Family affair
Loyce, Shenaz & Rahma
Mariam, Shenaz & Rahma
Moi, Shenaz & Rahma
Pompy, Shenaz & Rahma
Shenaz na ma shem zake
BFF
Menu
Mamabo ya msosi
Msosi ukiendelea
Moi, Loyce & baby Jason
Rahma & her hubby Pompy aka Ahemd! Wamependezaje
Wageni all in all hii shughuli ilikuwa organised na marafiki wachache wakaribu wa Shenaz & Hilary
Mc wa shughuli my shoti Rahma
Rahma akiongea machache
Tuliamua kuwakabidhi gift vouchers ili waweze kununua vitu wanavyo hitaji
Shenaz akishukuru with a hug
Barke & Khadija Bobo
Barke, Khadijabobo & Sheik Sungura
Marafiki katika picha ya pamoja
Shenaz na mwanae
Shenaz, mwanae na Mr & Mrs Sungura
Just chilling kwa raha zetu Loyce, Rahma and moi
Mtu na wifi yake
Moi & Barke
Moi & my bro Richard
Happy people
Moi & gorgeous baby N
Naipendaje picha hii na huyo wa kati ni wifi yetu lol
Beautiful Khadija & Barke
Gorgeous dada's
Siku chache baada ya hii surprise Mungu amewajalia Shenaz na mume wake mtoto mwingine wa kike so kwa niaba ya wote napenda kuchukua naafasi hii kuwapa hongera na kumuomba Mwenyezi Mungu awalindie, awabariki na kuwakuzia watoto wao.
JG
xoxox
Comments
Post a Comment