Nyimbo iliyoimbwa na Marehemu Kanumba inaitwa "NITAINUA MACHO YANGU JUU"....Moja ya mistari kwenye hii nyimbo ni ""Kama leo nikifa kila mtu atanisifu kwa lake ******* , hata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu kwa nyimbo na sala za huzuni,Mwenzangu leo niko hai twachukiana sana , usoni wa cheka rohoni ni vita,tusameane tuishi kwa upendo na amani,Furaha yetu hadi mbinguni tuwe na furaha ya… sikiliza
Comments
Post a Comment