Baada ya kuwepo kwa taarifa za mawaziri nane kujiuzulu.leo baada ya spika wa bunge ANNA MAKINDA kuahirisha kikao cha bunge mpaka siku ya jumatatu.
Waziri mkuu MIZENGO PINDA ametamka”sijapokea barua yeyote kutoka kwa waziri yeyote kujiuzulu kama wapo watatuletea ila kwa upande wangu sijapokea barua yeyote. Pia kuhusiana na habari kuandikwa kwenye magazeti sijafanikiwa kusoma na walasina uhakika na kilicho andikwa.
Ila kwa yeyote ambaye anatakakujua lolote kuhusu taarifa hizi ntatolea ufafanuzi siku ya Jumatatu”.
Source: Millardayo.com
Comments
Post a Comment