Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican jijini Dar es salaam leo kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
still cant believe mie mpaka nishuhudie mazishi yaake jamani kanumba wetu
ReplyDelete