Ndugu William Malecela amemepitishwa kuwa mmoja wapo wa wagombea wa Ubunge wa Afrika Mashariki na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi walipo kutana tarehe 28 March 2012 jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Tumsupport kaka yetu na ndugu yetu kwa kumpigia mbunge yeyote yule unaemfahamu au usiemfahmau na kumuomba ampigie kura William John Samwel Malecela, Jumanne 3 April 2012 ili aweze kushinda Ubunge wa Afrika Mashariki!
Asanteni sana na Mungu awabariki.
Asanteni sana na Mungu awabariki.
JG
Comments
Post a Comment