"DAMU YA MJOMBA" MOVIE KALI NA MPYA! PATA NAKALA YAKO SASA...!!!

It's a movie to watch grab your copy now!!!


Moja kati ya filamu chache hapa nchini zilizotengenezwa katika mazungira na ngazi ya kifamilia ambapo unakuta aidha mtunzi au wahusika nini baba,mama au ni watoto kwenye filamu ambayo imetayarishwa na mtoto. Damu ya Mjomba imekamilika nchini ya utunzi wa baba na kutayarishwa na mtoto wa mtunzi hadithi hii ambao ni Mzee Issa Semtawa kama mtunzi na Nusrat Semtawa kama matayarishaji.

Filamu ya Damu ya Mjomba ni nzuri kwani  ina sisimua itizamapo kutokana na tungo kuandaliwa katika mazingira haya haya ya mtanzania na kuchezwa katika maadili mema kabisa filamu hii inazungumzia maisha ya watu wa kawaida tu.

SNOPYSIS

Hadithti  inamuhusu binti mmoja aliyeolewa na hakufanikiwa  mtoto hivyo kuchukuwa maamuzi ya kwenda kwa mganga wa kienyeji na kama kawaida mganga kumtaka binti huyo apeleke vitu vyenye utata ambayo ni  damu ya mjomba wake ili apate mtoto. Je? hiyo damu aliipata? na kwenye mazingira wapi? basi itizame filamu hii mambo yote haya.


Mtunzi;
Issa Seemtawa

Mtayarishaji;
Nusrat Semtawa

Mwongojazi 
Hashim Kambi

Mpiga Picha
Said Abdallah

Star Cast 
Checkibudi,
Sabrina Omari,
Hashim Kambi,
Hidaya Njaidi,
Mzee Magari,
Susan Lewis [Natasha],
Grace Mapunda
Nusrat Semtawa
Bi Hindu

Msambazaji
Steps

Pata copy yako DAMU YA MJOMBA by Nusrat Semtawa Usingoje kuazimwa Jamani, DAMU YA MJOMBA inapatikana maduka ya Kariakoo na kwa wakazi wa UK, Europe na Marekani tuwasiliane.

Comments

  1. Jestina pliz naomba hiyo copy ya damu ya mjomba. Francia

    ReplyDelete
  2. Francia naomba tuwasiliane nikupe maelekezo na bei yake. Asante

    ReplyDelete
  3. Pls jestina hata m nataka.lucy

    ReplyDelete

Post a Comment