Mshindi wa Redds Miss Ukonga 2012, Elizabeth Pretty akipunga mkono akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Mary Chizi (kulia) na mshindi wa tatu Stellah Maurice. Shindano hilo lilifanyika Mei 5, 2012 katika ukumbi wa Wenge Garden ulipo Ukonga Mombasa, jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Redds Miss Ukonga wakiwa jukwaani na vazi la jioni
Warembo wa Redds Miss Ukonga 2012 ambao wamepata tiketi ya kuingia Redds Miss Ilala 2012 wakiwa katika Picha ya Pamoja na mshindi wa Kitongoji hicho katika shindano lao lililofanyika Mei 5 2012.
Shindano la Miss Ukonga 2012 lilidhaminiwa na Redds Primium Cold, Clouds FM, Father Kidevu Blog, Kiota Jungle, V Mask Logistic, Mambya Insurance, Mamushka Pub & Catering, Hill tech Resort, Mr Mabaga, G Obonyo na Excel Beauty Salon.
Kwa picha na habari zaidi tembelea Father Kidevu
Comments
Post a Comment