LIVE KUTOKA KIRUMBA MWANZA AMBAPO SHOW KUBWA YA KILI MUSIC WINNERS 2012 INAFANYIKA JIONI HII...!!!

 Wadau wakubwa wa Kilimanajro Bia wakijadiliana namna ya mambo yatakavyoenda Uwanja wa Kirumba leo.
  mashabiki na wapenzi wa Muziki wameshaanza kgia uwanjani na kila mtu ana kinywaji chake mkononi na ndio kiingilio chake.
Mashabiki kibao 
 Mashabiki wakingoja burudani Kirumba hii leo
 Ni mwendo wa Kili tu
 Mashabiki wakizidi kuminika uwanjani hapo
 Jamani leo ni vitu laini tu hapa Kirumba Mwanza na mambo ndio kama hivyo no chupa ni vijikopo tu
Ni kwamba  hapa haingii mtu bila kuponi ya Bia au Malta
Endelea kututembela kupata tukio zima
Picha kwa hisani ya Mrokim

Comments