MSANII LINAH AWASILI BONGO AKITOKEA MAREKANI TAYARI KWA MAKAMUZI YA MISS MWANZA KESHO IJUMAA NDANI YA ROCK CITY...!!!
Linah akiwa na Kaka yake, mdogo wake na Mama yao mzazi
Linah akiwa na mama yake na mdogo wake mara baada ya kuwasili Bongo
Sexy Linah katika pose
Linah na shosti wake Lulu aliye kuwepo pia kumpokea
Linah katika pose jingine kabla ya kuelekea home
Linah akiwa na furaha mara baada ya kuwasili nyumbani
Home Sweet home
hiyo sign ya vidole alimaanisha au kakosea nnayojua mimi hapo katukana midle finger tusiige tu jamani.
ReplyDeleteAcha chuki binafsi wewe middle finger ipo wapi hapo?
ReplyDeleteMatusi unayafanya wewe then uje umemuone lina na middle finger?
HOVYOOOO
Lina umetokelezeaaaaaaaa