MY SISTER MARYAM WA HARTMANN ATUA BONGO NA KWENDA KUMFARIJI MAMA KANUMBA. WAKATI HUO HUO SEREKALI NAYO YAKABIDHII RAMBIRAMBI YAKE YA MILIONI 10 ...!!!
Maryam Mbilinyi akiwa anamliwaza na kumfairji mama yake marehemu Steven Kanumba
Mama Kanumba akionekana mwenye furaha na amani huku Maryam furahia jambo
Maryam akiwa katika pose na mwigizaji Odama
Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake. Kabla ya kukabidhiana mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali.
Makabidhiano yakafanyika.
Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwa
Mama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo.
Picha kwa hisani ya GPL & Ray the Greatest
wabadilishage hayo mapazia
ReplyDeleteMillion kumi its to small cash 4 that Mamaa.
ReplyDelete