RAI'S FAB BABY SHOWER...!!!

Simplicity @ it's best!!! 
Dress code: Summer Colours (optional)
Theme: Summery
Venue: Rai's Residence Lecister UK

Fab mum to be Rai
Lovely cake
Baba na mama kijacho wakijiachia
Mama kijacho kanogajeee
Rai na wanae Tamara & Tanisa
Rai katika pose na marafiki zake Maryam, Sihamu na 
Maryam & Rai
Rai & Fatma 
Farida, Mayam & Rai
Chiku & Rai
Moi & Rai
Rai & Shakira
Rai na rafiki zake kutoka Cardiff
Carol & Rai
Rai & Shakira katika pose
Watoto pia walikuwepo kumtakia heri mama na aunty yao
Aunty Aisha, Halima & Mama Jojo
Saada & Joela
Farida & Maryam
Mariam, Rukia & Paskwina
Moi, aunty Aisha, Halima & Mama Jojo
Happy people
Janet (wifi yake Rai( akijiachia


Hapo chacha, kwa raha zooooooo
Huyo ndo Mrs Jalia Mavemba mwingine hakunaga chezea yeye
watu weweeeee
Rai na rafiki yake
Suzy na Rai
Munde dada yake Rai akishangilia mijizawadi

Sanduku la dada
Mtu na dada yake 
Rai na dada yake Munde
Marafiki wa Rai kutoka Lecister wakijiandaa kupeleka zawadi zao
Maryam wa Hartmann mwingine hakunaga
Jalia wa Mavemba mama lao
Mama Shughuli Jalia alitufurahisah sanaaaaaaaa
My dada & my wifi wamependezajee
Moi & my wii tunawakilisha
Hehehehehe mama kichajo kaa chonjoo watu walikuwa very busy na zawadiiii
Batuli, Rai & Asha Dau
Sihamu akikabidhii zawadi yake
Sihamu & Rai
Chiku & Rai
Saada & Rai
Paskwina & Rai
Mama shughuli No 2. Shakira & Rai 
Mariam akikabidhii zawadi yake
Mariam & Rai
Mambo yakumtunza mama kijacho
Dada Mary & Rai
Kuntunza kuliendeleaaaaa mpakaaaa
Da Zohrah akiendeleza kutunza
Sanduku laenda kukabidhiwa
Da Mary, Da Zohrah & Rai
Mwajuma & Rai
Mamdogo akimkabidhii zawadi mwanae
Mama Jojo
Halima & Rai
Fatma & Rai
Agnes Mokiwa & Rai
Rukia na Rai
Rai na rafiki yake
Farida & Rai
Aunty Aisha akimkabidhi Rai zawadi
Mama Shughuli haooo
Muke ya Hartmann aka my sis akitunzaaaa
Shakira mama wakusasambua
Watu weweee
 Menu ya uhakika mambo ya nyama choma live
Munde, Asha Dau
Suzy mwenywe totoz ya Moro chezea
Chiku 
Batuli
Halima, jalia & Maryam wametokelezeaje!!
Baby Iman pia alikuwepo na swaga zake chezeaa Princess wa Jestina
Sihamu akijiandaa kufunga shughuli
Rai na familia yake pamoja na watoto wa ndugu zake
Happy people
Watu walipendeza
Jikoba si mchezooo mambo ya summer colours
Fab
Wenyewe haoooo
Walinogaaa

Tamara na rafiki zake
Party people wakijipa raha
Tunapenda kuwatakia wazazi watarajiwa kila la kheri. Mungu awabarki na kuilinda famlia yao na kijacho.
Till then, Bye
Much love
JG
xoxox
Picha zote ni Copyright 2012 ©JESTINA-GEORGE.COM

Comments

Post a Comment