RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA RACHEL MWILIGWA TOKA KWA WANAMASUMBWI...!!!

Marehemu Rachel Mwiligwa
---
Kampuni ya BigRight Promotion kupitia kwa mkurugenzi wake Ibrahim Kamwe imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mhariri wa Michezowa gazeti la Mtanzania, Rachel Mwiligwa kilichotokea leo (Mei 11 mwaka huu). Kwa niaba ya mabondia, makocha na mapromota wa masumbwi nchini tunawataka familia ya Rachel na kampuni ya New habari wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Tunatoa POLE! - 
MUNGU AILAZEROHO YA MAREHEMU RACHEL PEPONI 
 "Ameeen"

Comments

  1. Poleni sana! Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi

    ReplyDelete

Post a Comment