KAZI YA KUMSAKA REDD'S MISS TANZANIA YAPAMBA MOTO MAMISS WA MIKOA NA KANDA MBALI MBALI WAANZA KUPATIKANA...!!!
Zena Mondi, Redd's Miss Singida 2012
Redd's Miss Singida 2012,Zena Mondi (katikati) akiwa na mshindi wa pili Rehema Marwa (kushoto) na wa tatu Eliza Diamond mara baada ya kumalizika kwa shindano lao na kutangazwa mshindi.kuamkia leo katika ukumbi wa Aqua mjini Singida
Lightness Michael Redd's Miss Dodoma 2012
Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012, Lightness Michael (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili Berinda Mdogo (Kulia) na Mshindi wa Tatu wa taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Nulsa Magambo Mara baada ya Kumalizika kwa shindano hilo.
Noela Michael, Redd's Miss Tabata 2012
Noela Michael, Redd's Miss Tabata 2012
Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar.
Winfrida Paulo, Redd's Miss Mbeya 2012
Redd's Miss Mbeya 2012, Winfrida Paulo (katikati) akiwa na mshindi wa pili Sabrina Abdul (kushoto) na wa tatu Careen Elias (kulia) mara baada ya kumalizika kwa shindano lao na kutangazwa mshindi. Shindano hilo lili fanyika ukumbi wa Mkapa mkoani Mbeya.
Images via Michuzi & Mbeya Yetu
Comments
Post a Comment