Rais JK na Mama Salma Kikwete wakikagua mahindi shambani kwao!
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakikagua mahindi shambani kwao kijijini Msoga,Chalinze,wilayani Bagamoyo wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki (picha na Freddy Maro)
Comments
Post a Comment