KITU KIPYA CHA FRIENDS PUB MITAA YA BIAFARA, KINDONDONI, BLOCK 41...!!!

Karibu Friends Pub ujipatie vinywaji mbalimbali, supu, nyama choma,vyakula vya aina mbalimbali huku ukiburudishwa na muziki laini kabisa bila fujo. Friends Pub ipo eneo la Biafra, Kinondoni, Block 41.

Karibuni sana na uonapo tangazo hili mjulishe na mwenzio.

Hongera sana Mr & Mrs Kajunason kwa maendeleo haya.

Comments

Post a Comment