MWIGIZAJI NYOTA KUTOKA NIGERIA 'OMOTOLA JALADE' KUWA MGENI RASMI KWENYE WEMA SEPETU'S GLITTERED NIGHT PARTY...!!!


KWA MARA YA KWANZA DIVA WA FILAMU TANZANIA WEMA SEPETU ANAFANYA ONYESHO LAKE AMBALO LITAHUSISHA WANAMUZIKI WA KIKE WANNE WANAOFANYA VIZURI HIVI SASA KATIKA MUZIKI PAMOJA NA MCHEZA FILAMU MAARUFU KUTOKA NIGERIA MWANAMAMA OMOTOLA JALADE aka OMO SEXY. 
ONYESHO HILI LITAFNYIKA 
JUMAMOSI 23 JUNE 2012
HAYATT KILIMANJARO HOTEL
PARTY HII NI EXCLUSIVE NA KWA MWALIKO TU!!!
ARE YOU INVITED???

Comments

  1. safiii WEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA sasa nakupenda zaidi mrembo

    ReplyDelete

Post a Comment