TASWIRA ZA MWIGIZAJI MAARUFU KUTOKA NIGERIA OMOTOLA JALADE "OMO SEXY" ALIPO TEMBELEA TANZANIA MITINDO HOUSE MAPEMA LEO...!!!
Omotola Jalade in Tanzania!
Omotola akipokelwa na Khadija Mwanamboka, mkuu wa kituo cha Tanzania Mitindo House mara baada ya kuwasili kituoni hapo
Mastar walipo kutana hapa chezeaaaa kabisa
Omo Sexy alipokelewa na watoto wa TMH na kukabidhiwa maua
Khadija Mwanamboka akiongea machache na Omotola
Superstar wa Bongo Wema Sepetu na Superstar wa Nigeria Omotola Jalade wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa TMH
Wema akiangalia kazi za watoto hao
O wow!! Omotola akionyesha kazi moja wapo ya watoto wa kituo cha TMH ambayo imeandikwa "YOUR WELCOME"
akiendelea kuangalia kazi zao huku akiongea na watoto hao
Omotola katika picha ya pamoja na mkuu wa kituo cha Tanzania Mitindo House Khadija Mwanamboka (kushoto), na mrembo Wema Sepetu
Shami wa 8020fashions pia alikuwepo
Martin Kadinda ambaye ni Manager wa Wema Sepetu akifurahia jambo na warembo hao
Baada ya kutoka kituoni hapo walielekea nyumbani kwa Wema Sepetu ambao walipata chakula cha mchana pamoja na watoto hao.
Image credit: Image Profession
MSIPENDE KUTOA HABARI KWA KUHISI HISI..ETI NYUMBA C YAKE OVYOOO
ReplyDeletehongera sana Wema,
ReplyDeletewakaanga sumu sasa wanachochea makaa yao kukuchafua.
Mdomo funga, wewe vitendo tu.