TWENDE KILIONI...!!!!

Nimependa sana msuko wa nywele 'twende kilioni' za Mh. Dr. Fenelle Mukangara kusema ukweli kapendeza sana.  Zimenikumbushaje enzi za shule kha!!!

Hivi ni kwa nini msuko huu uliitwa twende kilioni?

Comments