Mwigizaji Wema Sepetu akiongea machache wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya 'Super Star' iliyozinduliwa kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam 23 June 2012.
Kitu cha Super Star live kwenye big screen
Wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa filamu hiyo
Mashosti Wema & Snura wakifuatilia movie hiyo
Jackie Cliff, Kimora, Belina na wageni wengine katika uzinduzi wa filamu ya Super Star
Mwanamziki Shaa akifanya makamuzi
Watu wakirusha roho
Watu full kujiachia
Image credit: Musa Mteja (GPL)
Jamani mbona Mange simwoni kwenye hizo picha?!
ReplyDeleteATAJIBEBAA
ReplyDeleteATAJIBEBAA
ReplyDelete