Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga
Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kushoto) na Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye.

Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kushoto) na Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan Rico

Miss World Tanzania 2012, Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akielekea nchini China kushiriki shindano la Miss World 2012. Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo.
Comments
Post a Comment