SIKILIZA WIMBO WA "KILIO CHETU" Feat. JUNY MAN, BABIY CEE, JESTINA GEORGE, HEKIMA, SABRY, MAKOYA, KBA & WAKAZI...!!!
'KILIO CHETU' is a track that we recorded to honour our loved ones who lost their lives and those who were injured in the Spice Islander Ferry accident which occured in Nungwi Zanzibar on 10 September 2011. I would also like to dedicate this song to those affected in the MV Skageti Ferry tragedy which occurred yesterday 18 July 2012.
---
Wimbo huu ulitungwa kwaajili ya ndugu zetu waliopoteza maisha yao, waliobahatika kuokoka katika ajali ya Mv Spice, waliofiwa, Zanzibar na Tanzania yote kwa jumla. Na sasa tungependa pia kuudedicate huu wimbo kwa ndugu zetu walio kutwa na janga la kuzama kwa meli ya MV Skageti iliyotokea jana 18 July 2012.
TUKO PAMOJA. na hiki ndio KILIO CHETU.

Comments
Post a Comment