Bondia Rashid Matumla 'kushoto' akinolewa na kocha mkongwe wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli Masta wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa kupambana na Maneno Osward siku ya Idi Mosi katika ukumbi wa Dar live .picha na www.superdboxingcoach. |
Comments
Post a Comment