BRAND NEW TRACK: "BAKKLE TIME" - BULLETPROOF Feat. GEORGE P & SEVAD...!!!

Mi naitwa Bulletproof mtanzania nipo Nairobi nimefanya track George P ambaye yupo Fagan Fraternity ni former member wa Gully Side iliyo chini ya Mavado pia Sevad ye ni upcoming artist wa Jamaica track inaitwa Bakkle Time kwa English means battle time ikimaanisha muda wa mpambano...Bulletproof ni mtanzania aliyemasomoni Nairobi Kenya nasomea Law mwaka 3

Comments