HAPPY BIRTHDAY FID Q...!!!

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanamuziki wa hip hop nchini Tanzania ndugu Faridi Kubanda ajulikanae zaidi kwa jina la Fid Q. Kwa pamoja tumtakie Heri ya siku ya kuzaliwa! Happy Birthday Fid Q!

Comments