Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mtoto Sellah Muhidin naye akaamua akasherehekee na wanafunzi wenzie wa shule ya Lady Chesam Nursery School iliyopo Oysterbay jijini Dar es salaam. Sellah, ambaye anatimiza miaka 3, ni mtoto wa mwisho wa Ankal.
Hepi besdei baby Sellah, wishing you many many more. God bless.
JG
xoxox
Comments
Post a Comment