MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA YA MVUA UBUNGE WA IGUNGA DR DALALY PETER KAFUMU...!!!

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la Igunda Dk. Dalaly Peter Kafumu (CCM).Hukumu hiyo ambayo ilikuwa ni ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Dk Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge

Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji,Joseph Kashindye ambaye alikuwa ni mgombea  mwenzie dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi wa uchaguzi.

Comments