MH. GODBLESS LEMA AKIKAGUA MOJA WAPO YA VITENDEA KAZI VYA KAMPENI ZA 'M4C' MAPEMA LEO NCHINI UINGEREZA...!!!

Movement 4 Change....

Mheshimiwa Godbless Lema wa Chadema akikagua Helikopter ikiwa ni moja ya vitendea kazi vya kampeni za 'M4C'. Mheshimiwa Lema, pamoja na kufanya maandalizi hayo ya vitendea kazi.

Kesho Jumanne Agosti 7 anatarajiwa kufungua tawi la Chadema jijini London saa mbili usiku, Thatched House Barking kwa ushirikiano mkubwa na Makamanda wa London.

Comments