MHE. ABDULRAHMAN KINANA ATINGA DMV TAYARI KWA UZINDUZI RASMI WA TAWI LA CCM DMV KESHO...!!!

MHESHIMIWA ABDULRAHMAN KINANA AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM MAREKANI MARA ALIPO WASILI WASHINGTON DC. KUTOKA KUSHOTA NI KATIBU DMV KINYEMI, KATIBU NY SHABANI MSEBA NA MWENYEKITI DMV LOVENESS MAMUYA

Comments