MTOTO MAGDALENE CHRISTOPHER ALAMBA NONDOZ YAKE YA UHITIMU WA KINDERGARTEN...!!!

 
Agosti 2, 2012 ni siku ya kukumbukwa sana kwa Mtoto Magdalene Christopher baada ya kuhitimu masomo yake ya Elimu ya Chekechea katika shule ya Brokhouse International Schooliliyopo Morocco jijini Dar es Salaam na mwakani 2013 ataanza darasa la kwanza. Mahafali hayo yalifanyika leo.
Magdalene (kulia) akiwa na rafiki zake wakati wa mahafali yao.
Magdalene akipokea nondo yake ya Chekechea kutoka kwa mgeni rasmi.
Magdalene akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Bwana na Bibi Christopher Makwaia (MK) na shangazi yake katikati baada ya kutunukiwa cheti chake.
 Magdalene akila pozi na wazazi wake
 Mhitimu Magdalene akipokea zawadi kutoka kwa shangazi yake
 Jamanieee!! Hii ndo ganda langu bana ...
 Magadalene akila pozi na wenzake wakati wakisubiri kukabiziwa maganda yao.
 Hawa waliwaimbia na kuchezagoma za asili
 sasa tupo tayari kupokea vyeti.

Comments