NI ZAMU YA MABONDIA ZOLA D NA MCHUMIATUMBO UZITO WA JUU...!!!

Bondia David Michael Mlope (Zola D – King) akitunishiana msuli na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.
Bondia David Michael Mlope (Zola D – King)  akipima uzito leo kwa ajili ya mpambano wa idi pili utakaofanyika katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke
Mwenyekiti wa SHIWATA Cassim Taalib katikati akiwainua mikono juu mabondia  David Michael Mlope (Zola D – King)  kushoto na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo).
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA David Michael Mlope (Zola D – King) KULIA.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) AKIPIMA UZITO.
MTANGAZAJI WA KITUO CHA ITV AMIR MASARE AKIMUOJI BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King).
BONDIA David Michael Mlope (Zola D – King)  Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo). Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Comments