Mtandao wenu pendwa wa JESTINA-GEORGE.COM unapenda kuwataarifu wasomaji wake wote kuwa kwa sasa blog imerudi hewani lakini bado tunaendelea na maboresho.
Mojawapo ya maboresho hayo ni muonekano wa tovuti hii na urahisi wa kusoma habari tofauti na zamani. Samahani sana kwa usumbufu wowote utakao jitokeza kwa kipindi hiki.
Tunawatakia usomaji mwema wa habari kupitia matandao huu. Endelea kutembelea mtandao wenu wa www.jestina-george.com
Imetolewa na:
Webmaster
JGBlog
---
TO ALL OUR FANS & READERS
This is to inform you that we're back but the site is still under construction so please bear with us as we upgrade.
Sorry for any inconveniences this may cause.
We'll be back better then ever.
Webmaster
JG Blog
Sorry for any inconveniences this may cause.
We'll be back better then ever.
Webmaster
JG Blog
tuko pamoja, kila la kheri, mimi wa mwanzo kushukuru maana kuna vitu vya nyuma nilipata tabu sana kuvipata.
ReplyDeleteduuuhh. yaani kaanza Mange kubadili na wote mmefuata. haipendezi kuigana, kuweni wabunifu nyie bloggers wengine. this is not impressive at all..
ReplyDeleteNYINYI WAPENZI WA MAGI HEBU MWACHIENI THE BEAUTIFUL JG APUMUWE
DeleteKAMA MNA VIJI COMENT VYENU WEKENI KWENYE HIYO BLOG YENU PUMBAVUUUUUUU
wewe annonymous wa August 14 Mange kaanza ndo nini we mwehu kichaa idea ya blog ni Mange? mbona blog hizi hazifanani kabisa? Mange anatangaza familia yake na JG vitu tofauti mmeanza eeh. JG amenyamaza kimya mnamchokozo sio size yenu kabisa nyie endeleeni na maisha yenu kazi kujishebedua. Mbona kama ingekuwa ndo hivyo Michuzi angekuwa akiwanyanyasa sana watu kwani yeye ndo kati ya watanzania wa kwanza kuanzisha blog. Shikeni time Mange and her crew. sisi twampenda JG hana makuu.
ReplyDeleteKuchange blog kuna cha ubunifu! kama wataka kujua ubunifu kamuulize Steve Jobs ustuletee ujinga wako. Wewe umebuni nini? Mwacheni mtoto wa watu na maisha yake kutwa mnamuandama. Jestina we love you songa mbele achana na wapuuzi. Nakuuliza annyonymous wa August 14 16:24
ReplyDeleteme dont like jESTINA
ReplyDeleteHAHAHAHA
Si lazima umpendee but tupo tunao mpenda
DeleteHahahahaha tena tunampe na tunamshukuru sana mtoto wa watu yaani anaifanya kazi ya jamiii inavyotakiwa hizi Mange ni nani mbona hatuzijuwi na blog yake inaelezea nini!!!??????? Anatakiwa awasiliane na JG team ili wamsaidie kuweka blog yake hewani ili awe juu Kama Tina wetu na bado mtakomaaaaaaaaaaaasasa huu ni mwanzo tu
ReplyDeleteBLOG YAKO ILIKUWA NA MUONEKANO MZURI MWANZO...IACHE KM ILIVYOKUWA SAIZI INABIDI USOME HABARI MOJA THEN UFUNGUE NYINGINE WKT MWANZO ILIKUWA MUENDELEZO.CHA MUHIMU KWKO ILITAKIWA KUWEKA TU BLOG ARCHIEVE MAANA TULIKUWA HATUWEZI SOMA ZA NYUMA.Picha hazionekani fresh kama mwanzo kwa ukubwa na colour.Hakuna mvuto wa blog km first impression.Mange kabadilisha ila imekuwa na mvuto zaidi ni kweli
ReplyDeleteWho is Mange hebu tupishe muacheni JGblog yake inabamba kama huioendii andamana
DeleteWala si wapenzi wa Mange wanaocomment humu nyinyi hamjui kuna watu wagombanishi sana kila blog wanapita kugombanisha Mange na Crue yake Mawaziri hawana muda mchafu huo
ReplyDeletehata mimi nitakubaliana na mdau hapo juu mwanzo hii blog ilikuwa nzuri zaidi kwani picha zilikuwa zikionekana vizuri na kubwa na ulikuwa una uwezo wa kusoma hata post inayofuata bila ku click read.. na vilevile blog ilikuwa inamuonekano wa kuvutia zaidi ila mange kajitahidi ya kwake imebaki katika ubora wa juu zaidi
ReplyDeleteKubalini mabadiliko mtazoea tu mi nimeipenda
DeleteAnyway blog ya huyo mange na hii ya JG ni vitu viwili tofauti ninavyo elewa mimi sijui kwa nini mmekazana kufananisha na ya huyo Mange. Jestina uko juu sana kila mtu na style yake endelea hivyo hivyo
ReplyDeletesiku zote chnages zinakuwa ngumu kukubaliwa,mimi binafsi naipenda sasaive,mwanzo ilikuwa not organized na colour zilikuwa kali,sasahivi its very simple and neat. Tina embu check hiki kingreza hapo'we will are back'. i think the correct one should be 'We're back' or 'We'll be back'.
ReplyDeleteThanks very much
Delete