Madrassatul Noor Leicester na An Noor Community Leicester kwa pamoja wanapenda kuwaalika Waislamu Wote pamoja na Wapenzi na marafiki zetu kutoka Leicester na miji ya karibu na mbali katika Mhadhara mkubwa wa kuutukuza Mwezi wa Ramadhan utakaofanyika Jumamosi 4 Agosti 2012 kwa utaratibu ufuatao:
MUDA:Kuanza Saa Kumi na Mbili Jioni mpaka Sala ya magharibi
PAHALA: Hashi Centre, Nedham Street, Leicester, LE2 0HA
WAHADHIRI: Sheikh Nassor Haroub kutoka East London, Ustadh Omar Mrisho kutoka Slough, Brother Kamil kutoka De Montfort University
Baada ya Mhadhara itafuatia Futari ya pamoja
Tafadhali tusikose kuhudhuria kwa Wakati ili kuuenzi mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Kwa maelezo tafadhali wasiliana nasi:Madrasatulnoor.01@gmail.com
Simu: 07982124581 / 07792174408
Comments
Post a Comment