Ndugu wanachama wa chama cha Mapinduzi,Tunapenda kuwafahamisha kuwa Tawi la chama cha mapinduzi- DMV linategemea kufanya mkutanao mkuu wa wanachama wote .
Mkutano huu utafanyika siku ya Jumapili, tarehe 12 August 2012, mahali utakapofanyika ni 7901 MEADOW CREEK PARK, SILVERSPRING MARYLAND, Muda wa mkutano ni 4.00 P.M JIONI. (TAFADHALI ZINGATIA MUDA)
Comments
Post a Comment