Baada ya kupata malalamiko ya watu kwamba video ya kwanza aliyoitoa haikua nzuri, msanii Tunda Man kutoka Tip Top Connection aliamua kufanya video nyingine mpya ya single ya “Dem Sio” ambayo imetoka leo. Unaionaje hii ukilinganisaha na ya mwanzo ambayo ni hii hapa chini???
Comments
Post a Comment