Kamanda Chris Lukosi Mwenyekiti wa Tawi la CHADEMA LOndon akimwaga cheche
Mwenyekiti wa wanawake Kamanda JESSICA MADUHU
Aseri Katanga , Mwenyekiti wa bodi ya computers for Africa akiongea na wadau.
Gerald Lusingu akisalimia wadau
Dr Lusingu akiendeleza M4C
Katibu Wa Chadema Uk Libe Musiba akiwa na Mwenyekiti
Engineer Prudence akimwaga cheche
Wadau mbali mbali wakifuatilia mkutano wa M4C
Kamanda LEMA alihutubia mkutano kwa njia ya simu
Mweka hazina wa Chadema UK Dr Alex akishusha madongo mazito
Mdau akipokea kadi yake ya CHADEMA
SALIM akikabidhiwa kadi yake
Mweka hazina wa Chadema UK Dr Alex akishusha madongo mazito
Wambura akivaaa gwanda na kukabidhiwa kadi yake
Comments
Post a Comment