WEMA SEPETU AFIKIRIA KUJITOSA BIG BROTHER AFRICA MWAKANI..!!!

Mwanadada Wema Sepetu ameonekana na nia ya kushiriki BBA mwakani baada ya kutweet kile anacho kifikira kuhusu BBA mrembo huyo alitiririka kama ifuatavyo
Mi nadhani Wema ataiwakilisha TZ vizuri huko mjengoni BBA na pia atasaidia kupata watazamaji wengi kwa vile anapedwa na wengi. Una maoni gani juu ya hili?

Comments