FFU NGOMA AFRICA BAND WAFUNIKA TENA ALAFIA FESTIVAL, HAMBURG UJERUMANI...!!!

 



Siku ya Jumapili 26.08.2012 katika maonyesho ya Alafia Festival,mjini Hamburg,
Kulivamiwa na kikosi cha Ngoma Afrika band aka FFU,bendi hiyo maarufu  ya muziki
wa dansi barani ulaya ilikua na kazi moja tu ya kuwadatisha akili washabiiki 
katika onyesho la Alafia mjini hamburg! .
Ambapo washabiki walijikuta wakidatishwa akili na mdundo wa FFU.
Ngoma Africa band wanashikilia Tuzo ya kimataifa ya IDA-International Diaspora Award,
pia wanatamba na CD mpya Bongo Tambarare, wasikilize at www.ngoma-africa.com

Comments