good interview afadhali hata hii interview mtu unaweza kusikiliza ukaelewa vizuri kuliko zili zingine mtu anabandikwa swali juu ya swali mtu hajamaliza kujibu swali aliloulizwa mtu mwengine anambandika swali inaboa sana atilisti hii ni salama mwenyewe anamuuliza big it up salama wafundishe wale vijana wako jinsi ya kumuuliza mtu maswali wasubiri mtu amalize kujieleza wasi katishe mtu hajamaliza kujieleza

ReplyDelete