MAKAMUZI YA LINAH NDANI YA CLUB SOLAR LONDON...!!!

 Linah katika pose kabla yakuingia stajini
 Linah ndani ya Solar Club London
 Chris Luv akimtambulisha Linah
 Ladies full kuwakilisha
 Promoter Chris Luv na warembo 
 Watu full kushine
 Moi & Baraka Shelukindo Operations Manager Multichoice Tanzania Ltd.
 
Linah akikamua 
 Watu kibao wakipata raha
 Yaliti napenda pasi kifani
 Linah akimwaga mistari
 Linah na fan wake wakijiachia



 Security ilikuwa yakutosha
 Wakina dada pia walijitokeza kushow support

 Moi with my brother Joseph & his wife aka my wii Vicky.
 Tukiwa katika pose na Linah 
Hawtt couple Mr & Mrs Matondo na Linah
 Watu full kujiachiaaaaaaaaaaaaa
 Jessica nae alikuwepo full kujiachia
 Makamuzi yakiendelea
 Happy people
 Watu walikuwepo kibao kumshow Linah support
 Kitu cha mduara kikiendelea live
Watu tulitokelezajeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Comments

  1. mmh kuna wengine utafikiri hawako mamtoni walivyo,utafikiri wako mazense kwa mfuga mbwa lol,chakaa mbaya

    ReplyDelete
  2. Nimerudi tena JG looks great,na baadhi, ila wengine mmh rudini bongo tu!

    ReplyDelete
  3. mmh Jose matonda anakunywa JD? me nilidhani ameokoka ati!

    ReplyDelete
  4. mmh linah anajitahidi kuweka pose za picha zimegoma kote,kupiga picha mchezo!

    ReplyDelete
  5. Kuna kaka kavaa timber Kama marekani swagga on point weng Kama Hawako majuu

    ReplyDelete

Post a Comment