NI PESA TU NDO INAHUSU HAPA MPO???
Dola za kumwaga
Pound nazo zinahusika
Hilo kanda mmelisoma???
Mama mzazi ndo alivishwa ule mkanda mpo hapo???
Chezeaa money party
Mambo ya fezaaaaaaa
Shurti dola ziingine kwa manjonjo
Zimepambwa zikapambika
Waliozibeba nao wamenogaje
Mkononi kila mmoja na laki si pesa millioni matumizi hapana chezea kabisa
Kitu cha laki si pesa milioni matumiziiiiiiiiii
Waalikwa wakienda toa mkono wa pongezi na bahasha ambazo zina mipesa, hii ni MONEY PARTY ni pesa tu zilihusu!!
HAYA NA HILI MNALIONAJE?
Kwa picha zaidi ya shughuli hii nzima tembelea Mashughuli Blog
Personally I would like to hear some views from money and banking people. How do they tie that money together? as we all know money is something that we all share. I wanna know how that money looks like when un-tied. Just wondering if it does'nt fall into bad money,perhaps to be taken out of the system!!! and the gov makes new ones!
ReplyDeletePS: I dont have a problem at all with how they spend their money on celebrations. Just a little concern with the ones that have been tied together