BAADA YA KUISAMBARATISHA CCM READING, WIMBI LA MABADILIKO YA LAZIMA SASA KUUNGURUMA MILTON KEYNES

TAWI LA UK
TUNAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO MILTON KEYNES NA MIJI YA JIRANI
KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO UTAKAOFANYIKA
TAREHE 15/09/2012 KUANZIA SAA SABA MCHANA MPAKA SAA KUMI NA MBILI JIONI
TUTAWAJULISHA BAADAE KUHUSU UKUMBI
MNAKARIBISHWA MJIUNGE NA HARAKATI ZA KUENEZA DEMOKRASIA YA KWELI NA HURU NCHINI KWETU
HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE
SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM
Kutakuwa na usafiri kutoka London na Reading
REFRESHMENTS WILL BE AVAILABLE
kwa taarifa zaidi, tafadhaliwasiliana na wafuatao:-
Mwenyekiti: Mr CHRIS LUKOSI - 07903828119
&
Mwakilishi wa Reading: Mr GERALD LUSINGU - 07440745563
PEOPLE'S POWER!
Comments
Post a Comment