MUHADHARA MAALUM WA KIISLAMU KUFANYIKA SLOUGH, UINGEREZA...!!!

ASSALAM ALYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH:
JUMUIYA YA WAISLAM WA SLOUGH (EAST AFRICAN  COMMUNITY SLOUGH) INAPENDA KUWATANGAZIA WAISLAM WOTE KUTOKA SEHEMU ZOTE ZA UINGEREZA (UK) 
KUA IMEANDAA MUHADHARA MAALUM WA KIISLAM KWA WAISLAM WOTE WA KIKE NA KIUME, WADOGO NA WAKUBWA
UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE: 06-10-2012,MUDA NI SAA SABA NA NUSU MCHANA (1:30 PM)  
MAHALA NI (ADDRESS) DARVILLS LANE, CHALVEY, SLOUGH, SL1 2PH.
MAADA ITAKUA NI “TARBIYA” (MALEZI) MUHADHIR ATAKUA NI “USTADH ABUU” KUTOKA READING, NA USTADH OMAR "KUTOKA SLOUGH" MADA NI KUTOA KATIKA NJIA YA ALLAH, 
NYOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUPATA MAWAIDHA KWA AJILI YA KUZITAKASA NA KUKUZA IMANI ZETU KWA AJILI YA ALLAH
KWA VILE NAFSI SIKU ZOTE ZINATAKA KUKUMBUSHWA NA KUHOFISWA JUU YA ALLAH
TAFADHALI UKIPATA UJUMBE HUU FANYA SADAKA YAKO KWA KUMFIKISHIA NA MWENGINE.

KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA
USTADH OMAR: 07404711889
UKHTY SOFIA:  07405158598
UKHTY: TATU:  07405189159
UKHTY FATMA: 07424674080
JAZZAKUMULLAHULKHAIRY.

Comments